KERO Threads

Anonymous
KERO Responded 
Wadau, Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki. Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
2 Reactions
12 Replies
822 Views
Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini Wenyeji mnaonaje?
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua Boti za Zanzibar na...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Anonymous
KERO Responded 
Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Watumishi waliohama kada mbalimbali wanakutana na usumbufu hasa katika mfumo wa ESS katika kupangilia malengo ya utekelezaji na hivyo kuwa kikwazo katika utendaji kazi wao wa kila siku. Kwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Anonymous
KERO 
Hii sio sawa fremu zinajengwa kila sehemu kila kona, hivi wanaohusika na mipango miji wapo kweli? Mji mkubwa kama Dar es Salaam hili limekuwa kiboko, hivi matumizi ya ardhi yapo kweli? Yaani...
8 Reactions
18 Replies
948 Views
Anonymous
KERO 
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuvamia maeneo ya wazi au barabarani wakifungua biashara na mwishowe wakishindwa kuendelea na biashara ndogondogo hupangisha maeneo hayo kwa kuchukua kodi kila mwezi...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo. Usiku huu wa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
2 Reactions
7 Replies
843 Views
Sasa yapata wiki Mtaa wa Mwananchi hatupati maji hatuelewi kuna tatizo gani. Mhe. Waziri wa Maji fanya mabadiliko ya haraka katika Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza(MWAUWASA) ili wananchi tuwe...
0 Reactions
7 Replies
575 Views
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao. Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa muda sasa katika maeneo ya Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini...
1 Reactions
0 Replies
558 Views
Anonymous
KERO 
Mtaani kwetu Ubungo, Makoka, DSM Maeneo ya Kilimahewa kuna jirani amejenga nyumba ya kupangisha ambayo wanaishi wapangaji tu yeye anaishi mbali na hapo. Sasa tatizo linaanza, choo cha hiyo...
0 Reactions
7 Replies
536 Views
Wakuu salam, Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini? Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu...
2 Reactions
2 Replies
631 Views
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
Wadau tusaidieni tuko mkoani tunataka kupiga simu NHIF, walitupatia namba ya msaada 199 ila tukipiga hiyo namba ya msaada haipatikani kabisa. Watusaidie hata namba nyingine basi ya msaada kama...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
sitagliptin
KERO Responded 
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni. Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
Back
Top Bottom