hili nmekuwa nikiliangalia kupitia threads za watu mbalimbali humu. wanawake wa siku hizi ni kama wote tu wanajiuza. tunatia kinyaa na kuharibu image na heshima ya wanawake.
unakuta mwanamke anajisifia ngono au kudanga bila aibu. kwa kupenda pesa wanawake wengi wanaliwa tigo miaka hii.zamani ilikuwa haiwezekani mwanaume akaomba tigo maana ndo unakuwa mwisho wa mahusiano hapo hapo.
wanawake wa miaka hii tunapenda kupokea kuliko kutoa... na matokeo yake unakuta mwanamke mzima bila haya anaona kuhongwa ni haki yake.miaka yetu sisi ilikuwa ni kosa kwenda kwa mwanaume mkasex halaf akakupa pesa. tulikuwa tunakataa tena vibaya sana maana ni kama anakulipa kwa tendo.hivyo wewe ni kahaba.
wanawake wa miaka hii unamkuta mwanamke anakunywa pombe mlevi kama komba. na ndo maana wengi mnazalishwa na kuachwa tu mnazagaa na kudandiwa dandiwa na wanaume wakware /mafisi ardhi siyo maji.
mnatuabishia wenzenu.badala wanawake tusaidiane kiuchumi watunakaa kutiana moyo jinsi ya kuchuna mabuzi na papa zenu kutumika.hata aibu hamna?tuambiane ukweli kama utakasirika kasirika tu.
miaka yote jamiiforums nawasoma watu nmejionea makahaba,wadada waheshima wachache na wenye akili wa kuhesabu. na nyie wanaume mafisi mnatusifia ujinga. badala ya kutukosea tubadilike.
kuna member mmoja humu huita wanawake hao cheap ni mizoga na wanaume wake ni mafisi.hawana hata ladha... pilau ,mchanyato, wamenyata ,kichefuchefu...hata utamu hawana.
papa inaingiziwa midude mingi mingi utamu utatoka wapi? mwishowe inakuwa wazi tu unabung'aa.mnasema hakuna waoaji.mbona si tumeolewa na tunaheshimika mpaka sasa na wanaume wetu?
tusijiuze kupita social media. wanawake tufanye kazi na kuheshimu miili yetu.nyie acheni tu K zenu ziliwe na kila mwenye pesa....mwishoni mnazeeka kama wajane.