Tumia Akili weweHivi mbunge kutibiwa nje ya nchi hadi familia iombe. Suala maisha na uhai hadi familia iombe kweli. Waache kuchezea watu
Wekeni akiba ya maneno.Hivi mbunge kutibiwa nje ya nchi hadi familia iombe. Suala maisha na uhai hadi familia iombe kweli. Waache kuchezea watu
Lazima uambiwe wewe nani?Mbona Ndugai alipoenda kutibiwa nje ya Nchi hatukuambiwa kama maombi yalitoka kwa familia yake? Jibu hapo ni rais tu, walitaka afe wasimamie mazishi kwa ulinzi mkali, No kuaga mwili (labda ndugu tu), no waandishi kuripoti chochote, no chadema wala mawakili kufungua mdomo. Ila Mungu ni mkubwa, Kawaumbua mchana kweupe. wanatamani hiyo hospitali ingekuwa Tz ifungiwe kutoa huduma.
Lema afunge mdomo wake...ajue bado kesi yake iko mahakamani yuko nje kwa dhamana anaweza kurudi jela wakati wowote
SoNa utauzaje vitu vyako wakati wadau wanachanga michango mamilioni kwa ajili ya matibabu ya lisu.... pia mnajuwa serikali ikigharamia matibabu ya lisu DEAL WILL BE OFF.....nina maana MICHANGO itakuwa ndy basi tena .......
Kabisa ni wajibu wa serikaliUlisikia wapi mwananchi kutibiwa na serikali yake anayo ilipa kodi ni mpaka familia yake iombe? Huo sio utaani?
Wa Tz nani katuloga kama serekari imekubali kusaidia matibabu Ls litakuwa jambo jema tulipokee tunachohitaji sisi ni kuona Ls analejea katika hari yake na si vinginevyo tusitengeneze kauli zitakazo wafanya serekari kughaili jambo hili kwa kauli zetu
Kwani serikali mapato huwa inayapata wapi?Ujinga pia ni kutokufuata utaratibu wa bunge wa kimatibabu kisha kuwachangisha wananchi wanyonge hela ya matibabu.
Mnajificha nyuma ya watu wanyonge huku mnawapiga risasi watetezi wao mtanyooka tuuUjinga pia ni kutokufuata utaratibu wa bunge wa kimatibabu kisha kuwachangisha wananchi wanyonge hela ya matibabu.
maneno mnayatupa hayo maneno mtapata shida sana kuyakusanyaWalikuwa wanafikiri anakufa sasa matumaini yao sasa yamepungua sana hata faru john keshaanza kuwa kama kichaa