Mlizua janga hili ili muanze kusimanga watu!! Yaone haya mauaji hamna hata aibu. Huyo Lissu alikuwa wa kuuawa kwa sababu ipi hasa?! Hayo masimango waambie cc ya Lumumba ndio watafurahiaNi kweli Chadema wameshindwa kumpeleka Lissu kutibiwa Ulaya?
Wabunge wa Chadema wamerundikana Nairobi na wake zao bila mafanikio. Ni kweli Hawana pesa au ni Hujuma Kwa Lissu? Kwanini Lissu wamemficha Nairobi?. Wakati Serikali imesema iko tayari kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Índia lakini Chadema wamekataa.
Sasahivi Mbunge wa CCM amejitolea kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Marekani. Bila mbunge wa CCM Chadema Hawana uwezo wowote kumpeleka Lissu Ulaya?
Lowassa, Mbowe, Tanganyika Law Society, Wabunge wa Chadema kweli wameshindwa kutibu mtu mmoja?
Uchange kwa kipato kipi?mi sitachanga
Wao na kiongozi wao walipenda sana Lissu afe... ndo maana wanachonga sana juu ya haya matibabuKwani huyu mbunge wa ccm anatoa hela yake mfukoni?
Yaani nyalandu kuwezesha huo msaada roho inakuuma!!
Ama kweli Kuna watu bado mpo kwenye Evolutionary stage(Homo....)
Wewe ndio unaonaje kwa maono yako sasa?unataka chadema wamtibu?wakati Smg ni za Ccm!kwani smg zilizo mimina Risasi ni za chadema?Ni kweli Chadema wameshindwa kumpeleka Lissu kutibiwa Ulaya?
Wabunge wa Chadema wamerundikana Nairobi na wake zao bila mafanikio. Ni kweli Hawana pesa au ni Hujuma Kwa Lissu? Kwanini Lissu wamemficha Nairobi?. Wakati Serikali imesema iko tayari kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Índia lakini Chadema wamekataa.
Sasahivi Mbunge wa CCM amejitolea kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Marekani. Bila mbunge wa CCM Chadema Hawana uwezo wowote kumpeleka Lissu Ulaya?
Lowassa, Mbowe, Tanganyika Law Society, Wabunge wa Chadema kweli wameshindwa kutibu mtu mmoja?
Ni kweli Chadema wameshindwa kumpeleka Lissu kutibiwa Ulaya?
Wabunge wa Chadema wamerundikana Nairobi na wake zao bila mafanikio. Ni kweli Hawana pesa au ni Hujuma Kwa Lissu? Kwanini Lissu wamemficha Nairobi?. Wakati Serikali imesema iko tayari kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Índia lakini Chadema wamekataa.
Sasahivi Mbunge wa CCM amejitolea kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Marekani. Bila mbunge wa CCM Chadema Hawana uwezo wowote kumpeleka Lissu Ulaya?
Lowassa, Mbowe, Tanganyika Law Society, Wabunge wa Chadema kweli wameshindwa kutibu mtu mmoja?
Unachosahau undugu ni zaidi ya itikadi, na ukristo ni urafiki wa ' kweli'.... Je, unamjua aliyempeleka Sita German?!!!!!!!! Utashangaa sana ukimjua!!Ni kweli Chadema wameshindwa kumpeleka Lissu kutibiwa Ulaya?
Wabunge wa Chadema wamerundikana Nairobi na wake zao bila mafanikio. Ni kweli Hawana pesa au ni Hujuma Kwa Lissu? Kwanini Lissu wamemficha Nairobi?. Wakati Serikali imesema iko tayari kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Índia lakini Chadema wamekataa.
Sasahivi Mbunge wa CCM amejitolea kumpeleka Tundu Lissu kutibiwa Marekani. Bila mbunge wa CCM Chadema Hawana uwezo wowote kumpeleka Lissu Ulaya?
Lowassa, Mbowe, Tanganyika Law Society, Wabunge wa Chadema kweli wameshindwa kutibu mtu mmoja?
Mbunge wa CCM anatoa pesa zake mfukoni.
Mods niondoleeni status ya "JF - Expert Member", kuna watu hawaitendei haki hiyo statusMbunge wa CCM anatoa pesa zake mfukoni.
Kumbuka matatizo ya lissu yameletwa na nyinyi halafu unataka ahudumiwe na haohao walio mswaga risasi? hii laana haitowaachaMadaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Miaka mitano hii yote anaimalizia kwa wagonjwa. Akipona Lissu ataibukia kwa wagonjwa wengine.. [emoji16][emoji16]. Huyu jamaa bwana.!! Magu alijua kumuweza, kwa kumuweka bench!.Halafu jamaa anatumia hili swala la Lissu kama sehemu ya kutafuta attention!