Hii inaweza kuwa ni sababu kwanini tuko nyuma karibu kwenye kila kitu hata ndani ya Bara la Afrika

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,929
Reaction score
166,198
IQ ya mtu mweusi ,maarifa, n.k, vinaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya Bara la Afrika ingawa si kwa kila nchi na si kwa kila kitu. Ila kwa ujumla, utagundua picha ni hiyo na inajidhirisha katika nyanja nyingi.

Kwa mfano, utagundua nchi za Afrika Magharibi na Kaskazini, ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu, na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi na Kasikazini ambazo ni za bara la Ulaya na Asia, zina maendeleo zaidi, hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi.

Angalia hata katika soka nchi za Afrika Magharibi na kaskazini ndio ziko juu katika viwango vya soka kutuzidi na ndio nchi zinazoongoza kwa kutoa wanasoka wengi wanaoenda kuchaza soka Ulaya ukilinganisha na nchi zetu hizi za Kusini mwa Janga la Sahara.

In short, you will discover that, regions define human intelligence, level of development, colour,etc.

In other words, human intelligence, level of development , colour, etc, each of them is a function of region where that particular human being is found.

However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.

NB:Ili unielewe vizuri jiulize ni kwanini katika Region moja kama ya East Africa hakuna hata nchi moja yenye maendeleo makubwa kama vile Misri badala yake nchi zote zinafafanana kimaendeleo ila tofauti kubwa ya kimaendeleo inaonekana kati ya Region moja na nyingine.

Yaani jiulize ni kwanini katika East Africa Region hatuna nchi hata moja yenye maendeleo kama Misri au Morocco.
 
IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k vinaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika ingawa si kwa kila kitu ila hali hii inajitokeza zaidi katika maendeleo ya nchi hizi na hata katika uzalendo wa watu katika mataifa haya.

Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Magharibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi

Angalia hata katika soka nchi za Afrika Magharibi na kaskazini ndio ziko juu katika viwango vya soka kutuzidi na ndio nchi zinazoongoza kwa kutoa wanasoka wengi wanaoenda kuchaza soka Ulaya ukilinganisha na nchi zetu hizi za Kusini mwa Janga la Sahara.

In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.

In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.

However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
Yaani wewe kama ni Salary Slip basi ya Bashite. Unaongelea West Africa wako juu kutuzidi kama nchi gani vile mfano hakuna unakimbilia kutaja mchezo ambao hata Nyani ukimfindisha anacheza
 
Unabisha nini vitu viko wazi kabisa
 
IQ ya mtu mweusi,maarifa,n.k vinaongezeka kadri unavyo-move kwenda North ya bara la Afrika ingawa si kwa kila nchi na si kwa kila kitu ila kwa ujumla utagundua picha ni hiyo na inajidhirisha katika nyanja nyingi.

Kwa mfano,utagundua nchi za Afrika Magharibi ziko juu kimaendeleo kuliko hizi zetu za Aftika Mashariki kwa sababu ziko juu yetu na pia nchi zilizo juu au jirani na nchi za Afrika Magharibi ambazo ni za bara la Ulaya na Asia zina maendeleo zaidi hivyo Kenya iliyo juu yetu(North) imefuata utaratibu ule ule ndio maana wanatuzidi hata kwa maendeleo kama nchi

Angalia hata katika soka nchi za Afrika Magharibi na kaskazini ndio ziko juu katika viwango vya soka kutuzidi na ndio nchi zinazoongoza kwa kutoa wanasoka wengi wanaoenda kuchaza soka Ulaya ukilinganisha na nchi zetu hizi za Kusini mwa Janga la Sahara.

In short you will discover that,regions define human intelligence,level of development,colour,etc.

In other words I would say that,human intelligence,level of development ,colour,etc,is a function of region where that human being is found.

However,as it is always the case even in proven scientific laws,some exceptions are always there.
Ile hoja yako ya kwamba waafrika ni toleo la kwa kimajaribio ya uumbaji nayo inasimama vp katika hoja yako hii ya Leo?
 
Tanzania Tatizo kuna makabila ya ajabu wanatushushia wastani hasa yale ya Manyara, Singida, Dodoma na ukanda wa Pwani
Hata Mwigulu alikiri watu wa kasikani wako vizuri kuliko watu wa Kanda ya kati.
 
Tuchukulie katika mpira, India na Brazil ni nani wapo Kaskazini zaidi!
Pia New Zealand na Tanzania ni nani yuko Kusini zaidi ...au uhamiaji/ulowezi hauna impact katika hili 😉😉😉
 
Ile hoja yako ya kwamba waafrika ni toleo la kwa kimajaribio ya uumbaji nayo inasimama vp katika hoja yako hii ya Leo?
Hoja ni ile ile kacheki ule uzi utaona niligusia tofauti iliyopo hata ndani ya mabara yenyewe.
 
Back
Top Bottom