Channel ya Star Tv imeondolewa kwenye orodha ya channel kwenye kisimbuzi cha StarTime?

Channel ya Star Tv imeondolewa kwenye orodha ya channel kwenye kisimbuzi cha StarTime?

Bbc swahili dira ya dunia saa 3 usiku, hapo Salim Kikeke ndio huwa anafanya yake.

Mzee Mengi afanye mambo aipate Bbc swahili atakuwa amefunga kazi.

ITV ndio Television ya Taifa hilo halina ubishi.
Hicho tu basi maana habari za kanda ya ziwa sina muda nazo
 
Kipindi Chao cha maana ni Futuhiiii.......

Kwani wewe ulikuwa hulijui hilo?!
yangu imepotea ktk king'amuzi changu wala sijahangaika kuitafuta hiyo station, haina maana yoyote na wala haina kipindi cha maana kabisa
 
Habari wakuu,

Hivi chanel ya Star TV imeondolewa kwenye orodha ya chanel kwenye kisimbuzi cha Star Time?

Naomba kujuzwa.
Wakuu nipo home hapa usiku huu naona Star tv imerudishwa kwenye king'amuzi cha Star times.

Kesho kama kawaida dira ya dunia na salim Kikeke BBC swahili.

Am happy for this atleast nilikuwa nakosa program ya maana sana.
yangu imepotea ktk king'amuzi changu wala sijahangaika kuitafuta hiyo station, haina maana yoyote na wala haina kipindi cha maana kabisa
 
Back
Top Bottom