Nimeona maandiko mengi huku mitandaoni yakijaribu kuonyesha kuna uadui au kambi mbili kubwa zinazokinzana kati ya Mbowe na Lissu. Hizi propaganda zimefika mbali kiasi kwamba sasa hata chaguzi za...
Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids).
Kulingana na takwimu...
Julius Malema wakati wa harakati zake za kisiasa na wakati wa Kampeni za mwaka huu, alijiegemeza Sana kwenye kukishambulia chama cha siasa cha pili kwa ukubwa nchini Afrika ya Kusini.
Malema...
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.