Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
3 Reactions
24 Replies
316 Views
MJUMBE HAUWAWI. Nimepitia comment kwenye hii post. Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii. Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni? Nikaendelea...
5 Reactions
23 Replies
360 Views
Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano.. Malipo ni baada ya kazi
3 Reactions
21 Replies
79 Views
MANGE MHAINI, TUNA RAIS SAMIA HADI 2030, ABDUL SIO HADHI YAKO. Mange tumeona umeanza porojo zako tena dhidi ya Rais wetu kipenzi cha Watanzania, Dkt Samia na familia yake, hususani kijana wake...
2 Reactions
5 Replies
55 Views
Lengo la timu huwa ni kushinda bila kujali nani kashinda,lakini kila mchezaji ana role yake uwanjani,timu huwa zinasajili striker namaanisha namba 9 kwa ajili ya kufunga,kwamara ya pili ligi yetu...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
4 Reactions
48 Replies
355 Views
Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea. Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7...
0 Reactions
4 Replies
76 Views
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume...
39 Reactions
517 Replies
14K Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
13 Reactions
213 Replies
3K Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
60 Reactions
434 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,790
Posts
49,786,425
Back
Top Bottom