Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Shemasi 3rd

Member
Jun 1, 2024
98
104
Habari wakuu

Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam

Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali

Mpaka sasa nimesha andika vitabu zaidi ya 6 kama nilivyo weka cover zake hapo chini.

IMG_20240514_232215_739.jpg
Screenshot_20240516_232835_Bing-wm-264952.3999999985_watermarked.jpg
Ntafuta meneja atakaye weza kunisimamia katika kazi zangu hizi.. namba yangu ni 0711359904
 
Kuna typing errors kwenye Covers za vitabu zako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..
Uwe makini..
Ni kweli lakini pia mwandishi wa fasihi ana ruhusa ya kuvunja sarufi ya lugha ili kukidhi alichokikusudia.

Pia mwandishi anaweza kuvunja sarufi ya lugha ili kuonesha mvurugano au mkanganyiko katika jamii yake,mfano kitabu cha The beutiful ones are not yet born,mwandishi kaandika the beautyful ones instead of beautiful,
 
Habari wakuu

Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam

Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali

Mpaka sasa nimesha andika vitabu zaidi ya 6 kama nilivyo weka cover zake hapo chini.

View attachment 3005595View attachment 3005596View attachment 3005608 Ntafuta meneja atakaye weza kunisimamia katika kazi zangu hizi.. namba yangu ni 0711359904
Mcheki Meneja Wa Makampuni
 
Kuna typing errors kwenye Covers za vitabu zako! Angalia tena! Eg; POLITICS umeandika POLTICS na YOUTH umeaandika YOUITH..
Uwe makini..
Duuuh! Kweli bado kunatatizo sana hasa kwenye upande wa ujuaji nimekwambia kabla hujaja kusema kuna typing errors jiridhishe kwanza nenda google kaangalie uliza na kwa watu mimi sio chizi et book cover tu ikosewe .. nadhani ungekuwa mwandishi au msomaji wa vitabu usingeendelea kun'gan'gana na hii kitu asante
 
Things change ndg huwezi kosea book cover..
Kweli kabisa Poltics ni kingereza sahihi kabisa kwenye Cover na Yoiuth ni kingereza sahihi kabisa kwenye Cover na Develolopment ni kingereza sahihi kabisa kwenye Cover Ila tatizo ni moja tu anaesema umekosea yeye anatumia english version ya 1980 wakati wewe unatumia english version ya 2000 upo sahihi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom