Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake...
Dhana ya Kuabudu
Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.
Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu.
Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako...
CCM tukiwa tunaendelea kiwafariji rafiki zetu wa ANC Leo tena Mahakama nchini Kenya imebatilisha umiliki wa Ardhi ya KICC iliyokuwa inamilikiwa na KANU na sasa itamilikiwa na Serikali kupitia...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Habari za wakati huu.
Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025.
Young Africans aliibuka mshindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.