Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka...
Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka...
Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na...
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or
Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Nime notice kitu kutoka huko uraiani ni zaidi ya mara kumi nimeona wanaume wakiikataa mboga ya majani ya chainizi migahawani na hata mahotelini..
Watu kibao utasikia aaa chainizi toa situmiagi...
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.