Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
Wakuu mimi ni beginner kwenye hizo mambo za app development, nilipanga kujifunza app development, ila nikapata ushauri nijifunze web development (Front end) kwanza, nina endelea nayo, kwa sasa...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila m
Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio.
Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya.
Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.