Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia
✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania...
Habari za jioni Watanzania
Poleni na mihangaiko ya maisha
Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza
Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kila Mwanajeshi ninayekutana nae wa Uganda ( hasa Maafisa ) na Wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na Wakubwa Wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika...
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi .
Lakini pesa hii haikai kabisa, yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.