Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
Ni hatari tupu ! Ukifika kibaha maili Moja njia panda ya kwenda ofisi za mkuu wa mkoa ! Utaona Kuna bustani ya Miche ya miti na maua mbalimbali ..pembeni yake Kuna boda boda ,ukifika walipo...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi
Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
Mtu anakuja kwako ana onyesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k.
yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.