Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
14 Reactions
149 Replies
4K Views
Ni aibu sana serikali kukubali kuwekwa mfukoni mwa Tapeli. Wananchi wanatapelliwa Kwa matapeli kutumia jina la Waziri Mkuu, Kwa Jina la Rais wa Zanzibar na Kwa jina la Rais Samiah. Lakini hakuna...
3 Reactions
6 Replies
114 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Hi,wanajamvi namtafuta rfk yangu kpnz anaitwa vivian anakaa Arusha Mianzini na anafanya kaz NGOs mwembamba mrefu mweupe na ana dada yake anaishi Upanga dar kama ameuona ujumbe huu au kunamtu...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Habari wakuu, kwa wale wakazi wa Dar es Salaam kuna kihali cha mafua na kikohozi watu wengi naona wanavyo na kwangu mimi naona week hii ya pili inaenda hali ipo vile vile… Waliopatwa na hii hali...
1 Reactions
6 Replies
148 Views
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
2 Reactions
17 Replies
192 Views
https://www.youtube.com/watch?v=9of5FD2D9xw Nimebubujikwa na machozi.
3 Reactions
17 Replies
457 Views
Napenda kuwashauri wote mnaotafuta wachumba jf ni ngumu sana kumpata m2 unae weza kwendana nae akili. Wengi wao tayari wameshaumizwa hivyo kila mtu wanamchukulia na kumuhisi kama anaweza tenda...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo...
4 Reactions
18 Replies
533 Views
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu. Ni dada mtulivu nisie na makuu...
0 Reactions
35 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,647
Posts
49,862,685
Back
Top Bottom