Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia
Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Serikali Kuu kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya...
Kwa mujibu wa clip:
1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika
2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar
3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekuwa ikinitokea kama wiki 1 sasa!
Nimekuwa nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja...
Wanakumbi.
BREAKING:
🇺🇸🇮🇱 Biden:
"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."
Ramani ya njia ya usitishaji...
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa.
Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.