Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia...
0 Reactions
4 Replies
162 Views
Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na...
2 Reactions
27 Replies
295 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12...
1 Reactions
4 Replies
56 Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
20 Reactions
67 Replies
2K Views
Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻...
1 Reactions
94 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested...
12 Reactions
75 Replies
8K Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
540 Replies
42K Views
Sidhani kama yuke bwana ana akili kama tulivyoaminishwa huko nyuma. Kipindi cha jpm alimanage kupata kura angalau hata 12% lakini sasa hivi amigombe hata 2% hapati. Watu wenye akili wameshamuona...
2 Reactions
6 Replies
53 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
16 Reactions
201 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,592
Posts
49,861,424
Back
Top Bottom