Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza...
5 Reactions
11 Replies
366 Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
3 Reactions
234 Replies
3K Views
Hatari ya Jambo alilolifanya huyu kijana ni kubwa sana, hata kama amelipwa lakini hakuangalia mbele na wala hakujiuliza, kwanini Hadija Kopa au John Komba hawakufanya hivyo. Kusifia ccm au Samia...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
3 Reactions
129 Replies
1K Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
7 Reactions
64 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au...
5 Reactions
35 Replies
951 Views
Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa? Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
12 Reactions
156 Replies
6K Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya marekani. Hii ni...
4 Reactions
13 Replies
161 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,738
Posts
49,864,840
Back
Top Bottom