Wasalaam.
Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho.
Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
Rais wa Senegal, Bassirou Faye amesema faida itakayotokana na mauzo ya mafuta na gesi "itasimamiwa vyema" wakati taifa hilo la Afrika Magharibi likianza kuzalisha mafuta kwa mara ya kwanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna video nimeiona kwenye ukurasa wa Twitter wa Maulidi Kitenge ikimuonesha Rais wa Nigeria Mheshimiwa Tinubu akianguka chini wakati akitaka kupanda gari. ambapo ni kama...
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro...
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
Simba kwa sasa tutaona kila rangi.Utawala wa yanga umeimarishwa hadi kwenye safu ya uongozi wa Simba.
Malengo yao ya kimpira yanatimia huku malengo ya kisiasa ya wanaotumiwa yanatimia lakini kuna...
Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles.
Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.