Rasmi msimu ujao katika mashindano ya CAF kwa ngazi za vilabu kutakuwa na mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
Tangazo limetolewa na CAF katika tovuti yake 03 Juni, 2024 likionesha tarehe za...
yaani hata kile cha kuombea maji au kusalimiana au kujitambulisha tu kwa walugha wenzio...
haya ni matokeo ya fikra na falsafa chanya ya Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere katika kupiga vita na...
Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi...
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
Baada ya kuuchoma na kuuharibu kabisa mji wa Kyrat Shmona na Upper Galliilee sasa Hezbollah wameanza kuuchakaza mji wa biashara wa Haifa
Ikumbukwe kuwa Haifa ndo mji kitovu cha uchumi na biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.