Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
Salamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo...
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
Wakuu nina PC hapa ya muda sana yaan GEN1 series ya Hp chromebook!! Inatumia os ya chrome.
Hivi ukitaka iwe na window inawezkana? Maana mimi sielewi ilivyo ilivyo!
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela.
Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.