Wakuu
1; Hemed Moroco ametuheshimisha! Ilihitaji muda kidogo kumuelewa, alianza taratibu na sasa anatishia kibarua cha kocha Amrouche!
2; Stars wameshinda lakini bado Zambia wamecheza mpira bila...
Habari JF,
Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
Kwa Tanzania Bacca mna tunacho mdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.
Wasting his potential at Yanga.
Huyu hata Manchester United anapita.
Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni.
Ni upi ushauri wako ungeliwapa...
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
Tafuteni hoja nyingine 👇👇
======
“TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania) mwaka jana (2023) nina...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura.
Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.