Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona habari kuwa mwezi ujao mradi wa BRT wa mabasi yaendayo kasi unaanza kujengwa kuelekea Tegeta bunju hadi Bagamoyo. Habari kamili hiyo hapo. My take: Nitashangaa sana kusikia watakaojenga...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe...
7 Reactions
129 Replies
3K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
11 Reactions
68 Replies
977 Views
Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania...
3 Reactions
40 Replies
980 Views
Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Yule mzee Dr Shein na mkewe kwa kweli ni Viongozi wa mfano hasa kwetu Watanganyika tusiojua maana ya kustaafu Yaani fikiria huku Tanganyika Waziri mkuu mstaafu anaenda Kuwa Mwenyekiti wa Kanda...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
10 Reactions
40 Replies
547 Views
Nikiwa naangalia taarifa ya habari, nimesikia waziri akisema wanataka kuanzisha madarasa janja akimaanisha "smart classes" Nawaheshimu sana watu hawa wanaoitwa Prof. kwani wengi wao wamepita njia...
1 Reactions
5 Replies
233 Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
14 Reactions
150 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,067
Posts
49,764,379
Back
Top Bottom