Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

ikitokea umeitwa kwenda kuamua mgogoro wa rafiki yako wa kiume aliyemfumania mke wake wa ndoa, wew kama rafiki yake utampa mawazo yapi katika kuamua hili?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
17 Reactions
114 Replies
3K Views
Timu ya Taifa inacheza lakini cha kushangaza Televisheni ya taifa, TBC haina muda wa kuonyesha mchezo huu muhimu, Je kama kituo namba moja cha taifa hakina muda na timu ya taifa, sisi wananchi je...
3 Reactions
3 Replies
106 Views
Raia wanapiga kelele pesa zinakwapuliwa na Abdul. Anahonga wapinzani, Yeye kaziba masikio. Hii imekaaje?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
9 Reactions
115 Replies
2K Views
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena? CCM oyeeee!
0 Reactions
24 Replies
279 Views
Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
6 Reactions
42 Replies
374 Views
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii. Majasiri wengi...
4 Reactions
44 Replies
541 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
10 Reactions
102 Replies
2K Views
  • Poll
kama kichwa kinavyosema wangapi tutampa mheshimiwa profesa kura zetu? Wana ubungo haya uwanja wetu huu
1 Reactions
4 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,368
Posts
49,855,769
Back
Top Bottom