Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii.
Majasiri wengi...
Maana ya Betting
Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting...
Wakuu
1; Hemed Moroco ametuheshimisha! Ilihitaji muda kidogo kumuelewa, alianza taratibu na sasa anatishia kibarua cha kocha Amrouche!
2; Stars wameshinda lakini bado Zambia wamecheza mpira bila...
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe.
Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni...
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.