Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

https://www.pc.go.tz/ Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora. Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka...
1 Reactions
21 Replies
370 Views
Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya...
7 Reactions
24 Replies
839 Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
18 Reactions
169 Replies
3K Views
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu...
9 Reactions
41 Replies
628 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
10 Reactions
29 Replies
604 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
51K Replies
3M Views
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
2 Reactions
71 Replies
1K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
74K Views
Unapokuwa na Mfumo wa wapiga kura wachache basi jitahidi kuruhusu Wagombea Wengi Mfano Kura za maoni CCM zinaruhusu Wagombea Wengi kiasi kwamba mpiga kura hajui achukue Rushwa ya nani akatae ya...
1 Reactions
1 Replies
13 Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
39 Reactions
51K Replies
2M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,111
Posts
49,738,383
Back
Top Bottom