Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Habarini jamani,
Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo
Kwa sasa ni mke wa mtu...
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS...
Habari za wana JF?
Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70.
Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo...
Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc haipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji...
NI DANGURO LA MABINTI WADOGO SANA WENGINE WAMAMA WAZIMA
SEHEMU
RAINBOW BEACH M
HUKU MBEZI BEACH
POLISI KAWE WAMESHAAAMBIWA SANA LAKN WANACHOFANYA WANABEBA WANAWAKE WAKIFIKA GIXAN WANAWAACHIA...
Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga.
Kapuya amesema...
Ndugu Wanajamvi,
Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
TAMKO LA VIJANA WA ROMBO WAISHIO DAR ES SALAAM (VIWARO-DAR)
Umoja wa vijana wa Rombo waishio Dar es salaam, Ni chama Huru cha vijana waliotokea wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro ambao wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.