Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri.
Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia...
Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima...
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
...tunaendelea
Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
I hope mpo poa wakubwa👍.
Nilikuwa na uliza kwa mtu anaejuwa full stack web development mshahara wake huwa ni shilingi ngapi?
Au akiwa kama freelancer anaingiza amount gani average?
Zaidi ya watu 700,000 hufa kwa kujiua kila mwaka, ambayo ni mtu mmoja kila sekunde 40. Kujiua ni jambo la kimataifa na hutokea katika hatua zote za maisha. Uingiliaji kati wenye ufanisi na msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.