Gharama za vifurushi na ukata vimenifanya nibadili resolution ya kuview Youtube kutoka 720HD to 144
Na umasikini huu kuna mtu ananichukia na kuniundia magenge!! Walimwengu sio bora Wali-maharage
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa...
Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake.
#TAKARI KABLA YA KUMDHURU...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA.
Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.