Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
9 Reactions
106 Replies
3K Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
8 Reactions
81 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Imekuwa kawaida kwa mods kufuta uzi kwa sababu yawezekana nao wamekuwa wafuasi wa watu fulani hapa JF. Mkuu Max, JF umeijenga katika misingi ya hoja, haki, kuheshimiana na kubishana kwa hoja sio...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
3 Reactions
38 Replies
607 Views
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini. Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
1 Reactions
74 Replies
2K Views
Greetings, this evening I had a thought about something called Tax that came to my mind I think the biggest scam in life is paying taxes on the money we make, paying taxes on the money we...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hi, Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua...
7 Reactions
23 Replies
719 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza...
0 Reactions
3 Replies
41 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,931
Posts
49,845,772
Back
Top Bottom