Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre.
Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi
Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
Wanaukumbi.
🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI.
“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
Katika jinai ya kikatili ambayo...
Wakati mwingine tunaweza kupoteza njia zetu katika maisha na kujiuliza ni kuhusu nini yote hayo. Tunaweza kuzama katika hali na uhusiano ambao hayatimizi mahitaji yetu na kufanya tusihisi furaha...
Mpya kutoka kwa Tundu Lisu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake.
Baada ya Lisu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko...
Habali ya jumapili wanabodi,
Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike...
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.