Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%.
Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi.
Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala
“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”
“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu habari za mchana.
Naomba kufahamu iwapo naweza kuongeza ukubwa wa kiwanja changu ambacho nimeongeza kwa kufanya land reclamation na kubadili hati kuwa na ukubwa zaidi. Naomba kushauri wakuu
Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda...
Hello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.