Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesema Sikukuu ya Eid el Adh’haa itakuwa Jumatatu Juni 17 na swala yake itaswaliwa katika msikiti wa Mohamed VI uliopo makao makuu ya baraza hilo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili
TCRA watunge...
Tunayo furaha kuwataarifu kwamba sasa tunasafirisha mizigo kutoka China kuja Tanzania kwa ufanisi mkubwa na kasi ya ajabu. Huduma yetu ya usafirishaji kwa njia ya ndege inahakikisha kwamba mzigo...
Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana temeke wote.
Pili,niipongeze manispaa ya...
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom masaki
Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam
NB
Nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.