Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua...
2 Reactions
13 Replies
298 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko...
8 Reactions
42 Replies
511 Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
5 Reactions
113 Replies
2K Views
Anahitajika translator wa lugha ya kichina na kiswahili . Mwenye hizo sifa please call 0789630368
3 Reactions
5 Replies
67 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana! Pamoja na kushambuliwa...
4 Reactions
44 Replies
195 Views
I know that most Tanzanians are illiterates and therefore they normally become happy for while especially when there is a person who makes them happy temporarily even even for trivial issues like...
2 Reactions
3 Replies
15 Views
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana. Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to...
1 Reactions
9 Replies
519 Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
24 Reactions
203 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,663
Posts
49,837,139
Back
Top Bottom