Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Wanaukumbi.
🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI.
“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
Katika jinai ya kikatili ambayo...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram...
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored.
Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini?
Mimi binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.