Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
41 Reactions
297 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya akina Rostam mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon offset Kwa miaka 15 kwa malipo ya Tsh 10m Kwa kila pori kwa mwaka. Hii hela hapa Arusha haupati hata kiwanja...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mpya kutoka kwa Tundu Lisu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lisu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko...
0 Reactions
6 Replies
44 Views
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
5 Reactions
30 Replies
193 Views
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa...
3 Reactions
1 Replies
80 Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
1 Reactions
18 Replies
185 Views
eti wakuu pale kwenye ibada inatakiwa kutoa pesa ngapi kama mchango wa sadaka au kiwango chochote ni sawa tu?
2 Reactions
3 Replies
38 Views
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu SISI PEOPLE TUTAKUTANA
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,637
Posts
49,836,059
Back
Top Bottom