Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal...
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali, nimekutana na comment mbalimbali za watu wakitukanana matusi makubwa makubwa kisa tu wametofautiana/ kupishana kauli kidogo tu, imenichekesha nakunifanya nalia...
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya;
1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata...
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
Unaanzaje kwa mfano?
Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?
Hamuoni kama mnawapa dhambi?
Ni kweli masister wa sasahivi ni...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu.
Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
Waziri wa Ardhi Jerry Silaa amewapiga marufuku wenyeviti wa mitaa na Vijiji kuuza Ardhi na kwamba kuanzia Sasa kazi hiyo itafanywa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji tuu.
Aidha bwana Silaa...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.