Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
2 Reactions
24 Replies
414 Views
Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda...
7 Reactions
30 Replies
338 Views
Kiukweli putin kwa miaka kumi iliyoipita kwa kiasi amefanikiwa kuisumbua USA kutotimiza malengo yake kwa asilimia mia moja Kuanzia kule mashariki ya kati,syria na hata sasa Ukraine Lakini...
4 Reactions
7 Replies
172 Views
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
3 Reactions
24 Replies
616 Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni...
35 Reactions
149 Replies
9K Views
Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii...
17 Reactions
284 Replies
6K Views
eti wakuu pale kwenye ibada inatakiwa kutoa pesa ngapi kama mchango wa sadaka au kiwango chochote ni sawa tu?
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
14 Reactions
28 Replies
660 Views
Wakati mwingine tunaweza kupoteza njia zetu katika maisha na kujiuliza ni kuhusu nini yote hayo. Tunaweza kuzama katika hali na uhusiano ambao hayatimizi mahitaji yetu na kufanya tusihisi furaha...
0 Reactions
1 Replies
48 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,634
Posts
49,835,974
Back
Top Bottom