Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Habari zenu wapambanaji
Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M...
NUKUU
“Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.