Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa.
Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji...
Hii ni akaunti ya twitter ya mh. Lema. Anapata wapi ujasili wa kuwaita hawa wa mama wasagaji
Tanzania Leaks
@TanzaniaLeaks
·
Jun 7
BREAKING: Ni swala la aibu kubwa sana kwa Rais kutumia vibaya...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU"
Kwa mujibu wa...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.