Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
NAOMBA KUJUA KILICHOENDELEAAAA
BAADA YA MH WAZIRI WETU MPENDWA WA ARDHI JERRY SILAA KUSEMA KUNA JAJI ANASAPOTI HAWA WAHUNI KUSHINDA KESI WANAPOIBA ARDHI ZA WATU
JE MPAKA SASA TUME YA MAADILI...
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "Yule mwanaume nitamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae...
Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze...
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa JPM, lakini kwa pamoja tukubali Rais JPM had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa...
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.