Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
10 Reactions
184 Replies
3K Views
Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania. Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen...
7 Reactions
20 Replies
996 Views
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
8 Reactions
69 Replies
1K Views
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba...
0 Reactions
3 Replies
23 Views
Wakuu Asalaam, Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam. Nashukuru kwa...
0 Reactions
12 Replies
218 Views
Nahitaji Mining Supervisor awe na sofa zifuatazo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 30 2. Awe na uzoefu wa Underground mining kwenye migodi mikubwa au ya kati si chini ya miaka 4. 3. Awe na...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Salaam, shalom!! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na Leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee. Jambo jingine...
5 Reactions
26 Replies
310 Views
Naomba kujua utofauti na uhusiano wa Mwili, Nafsi na Roho. Vipo wapi na vinatendaje kazi katika mwili wa mwanadamu. Nawasilisha.
7 Reactions
81 Replies
3K Views
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia; 1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali...
11 Reactions
130 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,433
Posts
49,746,457
Back
Top Bottom