Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
Wakuu habari zenu.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho...
" Chini ya awamu ya sita kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumefanyiwa Credit rating ( solicited ) kama Taifa.
Hata hivyo Tanzania tumefanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za...
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua.
Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia
Upone...
Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi.
Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !!
Nikikutana na lidada...
Hari zenu wana JF,
Kuna gari aina ya IST imeibiwa leo yeyote atakae iona Naomba atupe taarifa simu 065 954 6653
078 495 5561
T. 441 DZD
Kuna zawadi nono kwa atakae...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Wadau mko poa!!
I am doing well.
Mtaa nilohamia mwaka huu mwishoni kuna ki sistaa flan, hiki ki sistaa kwao ni wafanya biashara wanamaduka ya vyakula na maduka ya dawa za binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.