Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
Kufuatia kuwepo kwa tukio la mtoto wakiume (3) kulawitiwa Jijini Arusha, mama mzazi wa mtendewa amedai kuwa kutokana na hali ya mtoto kuwa mbaya ameanza kumfunga mtoto huyo mikono kwa kutumia...
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa...
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.
Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.