Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
13 Reactions
127 Replies
2K Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
2 Reactions
94 Replies
878 Views
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
15 Reactions
114 Replies
933 Views
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J -...
4 Reactions
24 Replies
278 Views
Kufuatia kuwepo kwa tukio la mtoto wakiume (3) kulawitiwa Jijini Arusha, mama mzazi wa mtendewa amedai kuwa kutokana na hali ya mtoto kuwa mbaya ameanza kumfunga mtoto huyo mikono kwa kutumia...
0 Reactions
19 Replies
188 Views
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii...
11 Reactions
29 Replies
778 Views
Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia...
22 Reactions
243 Replies
8K Views
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
2 Reactions
17 Replies
257 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Mtoto wangu Ana miezi Saba juzi mama ake amenambia hajawahi kumuona alisimamisha uume Ilinichanganya Sana akili ilibidi nijipe mda nkakaa nae Kama masaa mawili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
8 Reactions
51 Replies
362 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,029
Posts
49,736,057
Back
Top Bottom