Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.
Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi...
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katika mahojiano na CNN alisema alipokuwa akifanya uchunguzi wa kuanzisha kesi dhidi ya Netanyahu, kuna kiongozi alimwendea na kumwambia waziwazi; "mahakama hii imeundwa kwa ajili ya Afrika na...
KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA,
Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni...
Hii miradi iliyoigharimu na inayoendelea kugharimu Taifa letu ni miradi ambayo imeigawa hii nchi vipande, ni miradi ya kibaguzi, yenye ubinafsi wa hali juu.
Ni miradi ya matrilioni ya pesa za...
SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla...
Hakika sikio la kufa halisikii dawa. Wabunge wakishirikiana na mawaziri, machawa na wapambe e.g. baadhi ya waandishi walituaminisha pitisha hiyo sheria ya kubinafsisha bandari zetu kwa DP world...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.