Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
KWEMA..
kwakuwa tumeona process ya kunywa pombe kupeleka tumboni mpaka kufika kichwani inachukua mda mrefu kulewa,sasa tumegundua process nyingine ya kulewa bila kunywa pombe,kwa sisi wakina john...
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
Ili kuepuka migongano baina binadamu na wanyamapori, Serikali kwa kushirikiana na wadau imendelea kutekeleza mradi maalumu kwenye eneo la 'Ruvuma landscape' unaolenga kuepusha madhara ambayo...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo: Sqm 135.73
Nyaraka: Ina leseni ya makazi.
Bei: Milioni 75
Karibu...
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.