Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuhusu mabinti wa kimarekani wana taratibu zao, mila zao na walivyokuzwa lazima mtapishana maana malezi yao ni tofauti na yetu, Wanawake wengi wamekuzwa kwenye mazingira ya kuwaamnisha wao ndio...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
Ni kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye
Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani
Wasidizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.