Habari,
Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.
Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye...
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu...
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito.
Kipindi...
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Wakuu habari, samahani nina shida ni hivi nilikuwa natumia iphone ila badae ikanizingua ikafa jumla, nikapoteza kila kitu, sasa nimenunua android, ila nataka nirudishe kila kitu changu from iphone...
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄
Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
LHRC...
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.