Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu naomba msaada wa jinsi ya kujisajili kwenye mtandao x(twitter) kila nikijaribu kujisajili inagoma,asante.
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya. Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
11 Reactions
82 Replies
1K Views
Takwimu zimeonyesha iringa imeongezeka kwa kiasi ukatili wa kinsia. Ni sabubu gani zinohisiwa kuchochochea ukatili wa kijinsi? Nini kufanyike ilikupunguza ama kutokomeza ukatili wa kijinisia...
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
13 Reactions
118 Replies
3K Views
Wakuu, kwema. Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine. Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
8 Reactions
29 Replies
277 Views
Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu. Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public. Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu Ina...
1 Reactions
4 Replies
118 Views
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄 Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
2 Reactions
1 Replies
25 Views
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
14 Reactions
74 Replies
1K Views
Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
2 Reactions
26 Replies
333 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,856,448
Posts
49,691,290
Back
Top Bottom